iqna

IQNA

swala ya ijumaa
TEHRAN (IQNA) – Misikiti 487 katika eneo la Sharjah nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) itaruhusiwa tena kuwa na swala za Ijumaa kuanzia Disemba 4.
Habari ID: 3473394    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/25

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kiislamu Jordan amesema marufuku ya Swala ya Ijumaa nchini humo sasa imeondolewa.
Habari ID: 3473374    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/19

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Morocco imetangaza kupiga marufuku tena swala za Ijumaa nchini humo kutokana na kuenea tena kwa kasi ugonjwa wa corona au COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3473191    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/21

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa, ameamuru kuazishwe kampeni ya kitaifa ya kutayarisha misikiti kote nchini kwa ajili ya Swala ya Ijumaa wiki hii.
Habari ID: 3473094    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mohammad Mokhtar Gomaa ameahidi kuwa serikali inatafakari kuhusu kuruhusu tena swala ya Ijumaa nchini humo ambayo imeendelea kupigwa marufuku hata baada ya misikiti kufunguliwa tena wiki hii.
Habari ID: 3472908    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28